Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Nisha:Sijawahi Kutembea Kimapenzi na Baraka Da Price na Wala Sintawahi Kutoka na Staa Yoyote Hapa Bongo.Fahamu zaidi hapa.
Iliwahi kuvuma kuwa anatoka kimapenzi na msanii Baraka Da Prince, lakini
muigizaji asiyeisha vituko Nisha anasema hizo ni fununu tu, ambazo
hazina ukweli wowote ndani yake. “Sijawahi kutoka na huyo mtu na
haitakuja kutokea, tena siyo yeye tu bali sina mpango wa kutoka na
msanii yeyote hapa Bongo,” anasema kwa kujiamini Nisha.
Una neno gani kwake?
Related Posts:
MAMENEJA Sallam SK, Babu Tale, Mkubwa Fella, Wamesusa Wasanii wao Wanabanana WCB Kwa Diamond.
Nakumbuka babu tale ndie mwanzilishi na meneja wa tip top connection
kina madee, keisha, tunda, dogo janja etc... naona amekimbia lebo yake
anabanana WCB.
sallam nakumbuka ni meneja wa AY naona kamkimbia anabanana na WCB… Read More
VIDEO:Nikki Mbishi Atoa Video na Kuwadiss Waliodai Kutekwa, na Bashite.
Mwanamuziki wa miondoko ya kufoka foka, Nikki Mbishi au muite Baba
Malcom amechia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Kama
Unatafuta Kiki.
Wimbo huu umewa-diss wasanii mbalimbali nchini ambao anadai kuwa wana… Read More
Mwimbaji Rose Mhando Awashukia Wanaomsema Vibaya.
STAA wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amefunguka kuwa, haogopi watu
wanaomsema kwa ubaya kila kona bali anaangalia kile kilichomsababisha
kuwa mwimbaji ambaye nyimbo zake zinawabariki wengi.
Rose aliliambia Wikienda kuw… Read More
Haitham Atoboa Siri kwanini Wema Sepetu Hakutokea Kwenye Video yake
Msanii wa Bongo Fleva, Haitham amefafanua sababu ya Wema Sepetu
kutoonekana katika video ya ngoma yake mpya ‘Play Boy’ ambayo
amemshirikisha mrembo huyo.
Haitham amesema kulikuwa na mipango ya kufanya video na Wema na … Read More
Diamond Platnumz Aweka Wazi Ufreemanson Wake.
Nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ ameendelea
kuzua maswali kuwa ni memba wa jamii ya siri inayodaiwa kumwabudu
shetani, Freemason au La? tetesi hizo zilianza kitambo lakini sasa
zimeshika kasi b… Read More
0 comments:
Post a Comment