Habari hizo zinasema kuwa, askari hao wameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi hao wakati wakijiandaa kuondoka kwenye lindo ambalo lilikuwa ni kizuizi cha barabarani ili warudi kituoni.
Imeelezwa kwamba majambazi hao waliwavamia ghafla polisi hao waliokuwa kwenye gari na kuwapiga risasi na kuwaua wote palepale eneo la tukio, kisha kutokomea kusikojulikana.
JamiiForums Twitter Page
:::::::::::::::::::::::::::::::::>>>>>
Mkuranga,Vikindu na Kibiti usalama wake haupo sawa.
Pole kwa wafiwa
TAARIFA YA AWALI: Tuna dokezo toka Mkuranga, Pwani kuwa Majambazi kuwashambulia na kuwaua Askari Polisi 3— Jamii Forums (@JamiiForums) April 13, 2017
- Taarifa zaidi zinafuatia #JFLeo
ISOMEKE: Tuna dokezo toka huko Mkuranga, Pwani kuwa Majambazi wamewashambulia na kuwaua Askari Polisi 3— Jamii Forums (@JamiiForums) April 13, 2017
- Taarifa kwa kina zaidi zinafuatia
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment