Tanzania Yazikataa Meli za Korea Kaskazini.
Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Augustine Mahiga amewafahamisha mabalozi wa nchi tano ambazo ni wajumbe wa kudumu wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kwamba meli mbili zilizoonekana zikielekea Korea ya Kaskazini ziki…Read More
TCRA Yawazipiga Marufuku Nyimbo za Diamond, Nay, Gigy na Roma.
Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA) imepokea orodha ya nyimbo 15 zisizokuwa na maadili kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kupiga marufuku nyimbo hizo kuendelea kurushwa katika vyombo vya habari huku ikisema hatua za kisheria…Read More
0 comments:
Post a Comment