Wednesday, 10 May 2017

LINAH Awajibu Waliomtukana na Picha za Nusu Uchi, Asema Waafrika Asili yetu ni Kuvaa Majani.

Msanii Lina alikuwa akihojiwa FNL ya EATV na alipoulizwa swali ni kwa nini ametupia picha akiwa amevaa hivyo alisema sio yeye wa kwanza kufanya hivyo kuna watu kibao wanafanya na watu wanawachukulia poa

Alipoambiwa sio utamaduni wetu alisema waafrika asili yao ni kuvaa majani na kujifunika sehemu ya mbele tu kwa hiyo hata kuvaa nguo full ni utamaduni wa kizungu


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa 

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment