Jamaa kajichubua siku hizi ,anahojiwa eti anasingizia kwamba siku hizi anaoga vizuri, anakunywa maji masafi kwa wingi, anadrive gari zuri ,ana maisha mazuri kwa hiyo weusi umemkimbia wenyewe
Kama unakumbuka Ray naye alidai kwamba anakunywa maji mengi na anashinda kwenye AC ofisini na garini ndio maana akawa mweupe
Sasa sijui kina Cheadle, Hounsou, Mario ballotel, Bacary Sagna wasemeje sasa? kwamba wao ni weusi dark kweli hawana hela na magari au?
ANGALIA VIDEO:
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment