Friday 29 April 2016

HIVI NDIVYO JESHI LA JWTZ LINAVYO FANYA KAZI YA KIKOMANDOO NCHINI DRC.Fahamu zaidi hapa.

Hapa  kuna Picha Kadhaa za Wanajeshi wetu wa JWTZ  Wakiwa  katika  uwanja wa Mapambano katika Misitu ya Ben Congo DRC.
Juzi kati, jeshi letu limetunukiwa  medani na MONUSCO Kwa umahili wake. ==>Habari hii,picha pamoja na video ni kwa hisani ya  mwandishi na correspondent wa ITV anayeripoti toka Congo ndg. Eshongulu Eshongulu Eshongulu

0 comments:

Post a Comment