Monday 18 April 2016

#YALIYOJIRI>>>>Mange 'Sidhani Kama Kuna Rais Aliechambwa na Kutukanwa Matusi ya Nguoni Kama JK.Fahamu zaidi hapa.

Insta Blogger Maarufu Mange Kimambi ameendelea kuliongelea suala la freedom of speech kupitia mitandao..Amemzungumzia Rais Mstaafu Jakaya kama ifuatavyo..
Mangekimambi_ Na yooote aliyofanya JK one thing Tanzania itamkumbuka JK for ni Freedom of speech! Sidhani Kama kuna Raisi alichambwa na kutukanwa matusi ya nguoni Kama JK, Yani ilikuwa kama tunaishi Marekani au nchi za Ulaya kumbe TZ. Sometimes mpaka freedom ilipitiliza Ila jamaaa alikuwa Kama haoni anavyochambwa na kipindi Cha 10 years sikuona mtu kashikwa kwa kumchamba JK.. JK mpaka aliwekwa zeutamu na kina Mange Kimambi ?? Ila Yule zeutamu jamani alijua kutikisa nchi aiseee!!🏽🏽. Yani ilibidi media iingilie kati kuwasema usalama why wanaruhusu Raisi anadhalilishwa vile ndo usalama kumfatilia mwenye blog, Ila JK wala hakuwa na time yeye alikuwa zake anganiiiiiiiii. .
.JK alituacha tuchongeeeee mpaka makoo yakauke yeye yuko zake vacation anakula bata maulaya hukooo .. Ila JK kibokooooooo. Ila nimeamini Kweli you can't have everything, Jk alitupa freedom of speech mpaka ikapitiliza ila Aliimaliza Nchi, Magufuli is repairing the country Ila katunyima freedom of speech .... Mtihani Kweli Kweli!
Nyie ambao hamjaelewa somo la leo soon mtaelewa tu, trust me. Ngoja Jamii forums wafungiwe na blog zoote ambazo ziko against the government then mtaelewa. Wameanza taratibu kihivyo yani! No live Bunge, mseme Rais unawekwa ndani soon mtaelewa tu! .
Eti Mange analalamika issue ya freedom of speech sababu ni mtukanaji, chief mimi watanifanya nini kwani?Hata nirudi Tanzania leo legally hawana cha kunifanya zaidi ya kunisumbua , labda waning'oe meno kama Dr. Ulimboka Ila kisheria hakuna kesiiii..... All I need is good lawyer like Kibatala and I will be out the same day. Tena this time najisalimisha mwenyewe saa mbili asubuhi ili wasipate mwanya wa kunilaza ndani wajifanye muda uliisha na nilikuwa sijatoa maelezo. Kama nimefanya kosa nimelifanya nikiwa nje ya Tanzania.. Serikali ya Tanzania haiwezi kunishtaki Kwa makosa niliyofanya nikiwa Marekani. So mnaodhani nafight hii law for me you are wrong hii law Mimi haini affect hata robo,So napoongea najua nachoongelea na najua nafight kitu gani. Hao kina Hoyce Temu walionifungulia kesi wanajisumbuaaaaaaaaa. Yani hakuna wakunishtaki Tanzania as long as nilivyokupa ukweli wako sikuwa kwenye ardhi ya Tanzania. Sorry bitches' Mange
Source:Mangekimambi_

0 comments:

Post a Comment