Thursday 21 April 2016

#YALIYOJIRI>>>>Rais Magufuli Akutana Na Wenyeviti Wa CCM Na Makatibu Wa Mkoa na Wilaya za Tanzania.Fahamu zaidi hapa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wenyeviti, Makatibu wa Chama cha Mapinduzi wa mikoa na Wilaya za Tanzania bara na Visiwani Ikulu jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment