Thursday 21 April 2016

RAPA YOUNG DEE AJA NA MUONEKANO WAAJABU.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Msanii wa Bongo Fleva Young Dee ameamua kujiachia na muonekano mpya kuanzia na style ya nywele akidai kuwa tafsiri ya muonekano wake huo mpya ni “ameshinda" / "yeye ni mshindi”.

Star huyo ambae aligeuka kituko na kustaajabisha baada ya kukurupuka kukatisha interview yake na kwenda kupiga story na washkaji akimuacha muandishi wa Enewz njia panda.
Pia katika maelezo yake ya kutatanisha Young Dee alinukuliwa akisema kuwa “Nina plan ya kuingiza hela kupitia kila mtu dunia nzima, yaani ni kama vile kila mtu ana bajaj yangu hivi, so jioni ananiletea hesabu.

0 comments:

Post a Comment