Thursday 28 April 2016

HUYU NDO DEMU MPYA WA NAY WA MITEGO.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Na sasa huenda amempata yule anayeweza kuanza kuwaonesha mashabiki. Rapper huyo wa ‘Shika Adabu Yako’ amepost kwenye Instagram picha ya msichana mrembo mwenye asili ya Kisomali na kuashiria kuwa tayari ameshampata mrithi wa ex wake.

Na hivi karibuni Nay ambaye amejitolea kumsaidia mzazi mwenzake, Zuwena aliyefungwa jela miaka miwili kwa kosa la kutishia kusambaza picha za utupu za mpenzi wake, na tayari ana mpenzi mwingine.

Unamuonaje shemeji/wifi yetu mpya?

0 comments:

Post a Comment