Wednesday 21 June 2017

#BREAKING NEWS>>>Watu wasiojulikana wamemuua Askari wa Usalama Barabarani katika Kijiji cha Bungu B huko Wilayani Kibiti mkoani Pwani, mchana huu.

Taarifa za kuaminika zilizotufikia zimeeleza kuwa gari 
la askari hao pia limechomwa moto na kwa sasa vikosi 
vya ulinzi na usalama vinaelekea eneo la tukio.
 
Watu wasiojulikana wamemuua askari wa Usalama 
Barabarani katika Kijiji cha Bungu B wilayani Kibiti, 
mchana huu. 

Tutaendelea kukujuza jina la askari huyo na namna 
mauaji hayo yalivyotokea hivi punde.
 
Chanzo:Mwananchi habari. 

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment