Saturday 17 June 2017

VIDEO:Sitti Mtemvu Azungumzia Rushwa ya Ngono Kamati ya Miss Tanzania.

Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu amefunguka kuzungumzia tuhuma za rushwa ya ngono ambazo zimekuwa zikielekezwa mara kwa mara kwenye kamati inayoandaa mashindano ya urembo nchini, Miss Tanzania.

TAZAMA VIDEO:



Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment