Thursday 22 June 2017

Maalim Seif Apata Pigo Kubwa zaidi Kutoka Kwa Lipumba, Bodi ya Lipumba Yasajiliwa na Ruzuku itakuwa yao.

Kambi ya Cuf ya Ibrahim Lipumba imethibitisha bodi yao kupata usajili mpya kutoka RITA na sasa bodi ya wadhamini ya zamani imefutwa

Kwa sasa miamala yote ikiwemo ruzuku itakuwa inaingia kwenye akaunti na watakuwa wanachukua upande wa Lipumba na kutokana na bodi hiyo kufutwa wamesema kesi zilizokuwa zimefunguliwa dhidi yao na bodiya zamani watahakikisha zimefutwa.

Upande wa maalim seif wamesema kwa sasa hawana cha kuzungumza hadi watakapokaa
RITA walipopigiwa simu hawakupokea




Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment