Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR (ZFDB) YAHARIBU TANI 42.2 ZA BIDHAA ZISIZOFAA KWA MATUMIZI YA BINADAMU.Fahamu zaidi hapa.
Wafanyakazi
wa ZFDB wakipakia shehena ya bidhaa zilizoharibika tayari kwenda
kuangamizwa katika Dampo la Kibele Mkoa Kusini Unguja.
Bidhaa
mbali mbali zilizoharibika zikiteremshwa kutoka kwenye gari na
wafanyakazi wa Bodi ya chakula na Vipodozi katika Dampo la Kibele kwa
ajili ya kuangamizwa.Bidhaa mbali mbali zilizoharibika zikiteremshwa
kutoka kwenye gari na wafanyakazi wa Bodi ya chakula na Vipodozi katika
Dampo la Kibele kwa ajili ya kuangamizwa.
Mkuu
wa Idara ya Usalama na Ubora wa chakula wa ZFDB Aisha Suleiman
Mubandakazi akizungumza na waandishi wa habari juu ya zoezi la
kuangamiza bidhaa mbali mbali zilizoharibika na zilizokatazwa kwa
matumizi ya binadamu.Mkuu wa Idara ya Usalama na Ubora wa chakula wa
ZFDB Aisha Suleiman Mubandakazi akizungumza na waandishi wa habari juu
ya zoezi la kuangamiza bidhaa mbali mbali zilizoharibika na
zilizokatazwa kwa matumizi ya binadamu.
Bordoza la Manispaa ya Zanzibar likiwa kazini kuangamiza bidhaa hizo katika eneo la Kibele Mkoa Kusini Unguja.
Wafanyakazi
wa ZFDB wakiongozwa na Mkuu wa operesheni ya uangamizaji bidhaa
zilizoharibika Abdulaziz Shaib Mohamed (katikati) mwenye shati
wakifuatilia uangamizaji wa bidhaa hizo. Picha na Makame Mshenga-Maelezo
Zanzibar.
Related Posts:
Kazi Immeanza Rasmi..Waziri Mpya wa Habari Aaanza na Sakata la Makonda Kuvamia Clouds,Ametoa Kauli Hii.Fahamu zaidi hapa.
Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo amejibu swali la
waandishi kadhaa wa habari waliomhoji mapema leo baada ya kuapishwa
katika viunga vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Waziri Mwakyembe amenukuliwa akisem… Read More
FOLLOWERS KWENYE AKAUNT YA INSTAGRAM YA RC MAKONDA INAPUNGUA KWA KASI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
&nbs… Read More
RPC Kinondoni Akana Kuhusika na Zuio la Mkutano wa Nape Nnauye,Afunguka Juu ya Askari Kuonyesha Bastola.Fahamu zaidi hapa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Susan Kaganda, amesema kuwa
yeye hakutoa maelekezo ya kuzuia mkutano wa aliyekuwa Waziri wa Habari,
Sanaa, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye pamoja na Waandishi wa Habari
Jana… Read More
CCM Yakanusha taarifa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Komrade Kinana Ataongea na waandishi leo.Fahamu zaidi hapa.
Tumekuwa
tunapokea simu nyingi kutoka kwa waandishi wa habari, na pia kuna
wengine wamefika mpaka ofisini, kuuliza au kuja kuhudhuria kikao baina
yao na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Abdulrahman Kinana, asubuhi hii.
Na… Read More
HIVI NDIVYO MABASI YA MSUKUMA YALIVYO ANDIKWA “VYETI FEKI”.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Moja ya mabasi ya mbunge Msukuma, kaandika Vyeti feki
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
&nb… Read More
0 comments:
Post a Comment