Sungu Sungu kushikiliana na Jeshi ya Polisi wamkamata kijana mmoja kwa jina maalufu "P" jina lake kamili ni "Peter Lema" akiwa na vilevi aina ya "VILOBA" vilivyo kuwa vimewekwa kwenye mfuko wa KILOBA maeneo ya MABIBO SAHARA,Siku ya jana usiku baada kuwaoji baadhi ya wanasungu sungu.
Wednesday, 13 July 2016
Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>Sungu Sungu wa MABIBO SAHARA kushikiliana na Jeshi ya Polisi wakamata vilevi aina ya Viloba.Fahamu zaidi hapa.
#YALIYOJIRI>>>Sungu Sungu wa MABIBO SAHARA kushikiliana na Jeshi ya Polisi wakamata vilevi aina ya Viloba.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
Wameandamana Afrika Kusini Kushinikiza Ukweli wa Kifo cha Mtanzania Alieuawa. Wanachama wa Shirika la Africa Diaspora Forum wamefanya maandamano nchini Afrika Kusini kushinikiza serikali ya nchi hiyo na ya Tanzania kubaini ukweli kuhusu kuuawa kwa mwanafunzi raia wa Tanzania mwezi February.Baraka Leo… Read More
Tanzania Yazikataa Meli za Korea Kaskazini. Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Augustine Mahiga amewafahamisha mabalozi wa nchi tano ambazo ni wajumbe wa kudumu wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kwamba meli mbili zilizoonekana zikielekea Korea ya Kaskazini ziki… Read More
Rufaa ya Kupinga Hukumu ya Kifungo ya Sugu, Masonga Yapelekwa Mahakama Kuu. Rufaa ya kupinga hukumu ya kifungo cha mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wanaotumikia jela miezi mitano imewasilisha Mahakama Kuu Kanda ya Mbe… Read More
TCRA Yawazipiga Marufuku Nyimbo za Diamond, Nay, Gigy na Roma. Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA) imepokea orodha ya nyimbo 15 zisizokuwa na maadili kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kupiga marufuku nyimbo hizo kuendelea kurushwa katika vyombo vya habari huku ikisema hatua za kisheria… Read More
Picha: Hivi Ndivyo Polepole Alivyonusurika Kufa Baada ya Msafara Wake Kupata Ajali. Msafara wa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Hamphrey Polepole umepata ajali katika eneo la kijiji cha Nyamidaho, Kata ya Makere wilayani Kasulu mkoani Kigoma.Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Toyota V8 yenye namba … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment