Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Davido Ampiku Diamond Kama Muimbaji Mwenye Followers Wengi Instagram (Afrika).Fahamu zaidi hapa.
Msanii wa Nigeria, Davido amefanikiwa kufikisha follower milioni 2.9
kwenye mtandao wake wa Instagram na kuwa muimbaji wa kwanza Afrika kuwa
na followers wengi zaidi kwenye mtandao huo.
Mpaka wiki iliyopita nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na msanii wa
Tanzania, Diamond Platnumz mwenye follower 2.7 milioni kwenye mtandao
huo lakini kwa sasa atashika nafasi ya pili.
Mpinzani wa karibu wa Davido, Wizkid ana followers milioni 2.5.
Waimbaji wengine wenye followers zaidi ya milioni moja ni:
Don Jazzy 2.2 milioni
Tiwa Savage 2.2 milioni
Vanessa Mdee 1.8 milioni
Alikiba 1.4 milioni
Yemi Alade 1.2 milioni
Related Posts:
#BURUDANI>>>Ujumbe Huu wa Vanessa Mdee Kwa Jux wa Wakuna Wengi.Fahamu zaidi hapa.
Staa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ ametumia fursa ya siku ya
kuzaliwa ya mpenzi wake, ambaye pia ni Staa wa muziki wa R&B hapa
Bongo, Juma Jux kumwandikia ujumbe muhimu kudhihirisha ni kwa kiasi gani
anamp… Read More
#BURUDANI>>>> Video ya wimbo ‘Waache Waoane’ imekuwa video ya kwanza ya Chege kufikisha views milioni 1 YouTube.Licha ya Chege Chigunda kufanya nyimbo nyingi kali lakini hakuwa na
nyimbo ambayo video yake iliweza kufikisha views milioni 1 YouTube.
Lakni video yake mpya ya wimbo ‘Waache Waoane’ aliyomshirikisha Diamond
Platnumz imeku… Read More
#BURUDANI>>>>Ndoa Yamfanya Mwana FA Kuacha Kufanya Mambo Haya.Fahamu zaidi hapa.
MAPEMA mwezi Juni, mkongwe kwenye gemu la Muziki Bongo, ambaye pia ni
staa wa Wimbo wa Bado Nipo Nipo, Hamisi Mwinjuma aliuaga ukapera baada
ya kufunga ndoa na mzazi mwenzake ambaye ni akauntanti, aliyezaa naye
mtoto ait… Read More
#BURUDANI>>>Hatimaye Shamsa Ford Afunga Ndoa na Chidi Mapenzi.Fahamu zaidi hapa.
STAA wa Bongo filamu nchini, Shamsa Ford amefunga ndoa na Rashidi Said ‘Chidi Mapenzi’ ambaye ni
mfanyabiashara wa maduka ya nguo.
Sherehe za ndoa hiyo zilifanyika nyumbani kwa wazazi wa Shamsa eneo la Sinza, … Read More
#BURUDANI>>>Msanii Mr Blue Acharuka..Kuwachukulia Sheria Naj na Baraka da Prince Wanaodaiwa Kuivuruga Ndoa yake.Fahamu zaidi hapa.
Msanii wa bongo flava Mr. Blue ambaye hivi karibuni alipatwa na msuko
suko wa kuyumba kwa ndoa yake, kutokana na kusambaa kwa tetesi za
kuwasiliana na ex wake Najma Dartan, amesema yuko tayari kumchukulia
hatua za kisher… Read More
0 comments:
Post a Comment