Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Hakuna mtu atakayenipangia muziki wa kufanya – Nay wa Mitego.Fahamu zaidi hapa.
Huenda sumu ya adhabu ya BASATA kwa Nay wa Mitego ikawa haikukolea vyema.
Ni sababu rapper huyo ameibuka na kudai kuwa, hakuna mtu anayeweza
kumpangia aina ya muziki wa kufanya, na kwamba hivi karibuni ataachia
wimbo uitwao ‘Utakula Jeuri Yako’ ambao ni makavu kwa kwenda mbele na
huenda ukazua ‘sheshe’ jingine.
“Nobody can stop me,” alisema Nay katika mahojiano kipindi cha Extra
Fleva, cha Uplands FM ya Njombe kinachoendeshwa na Ergon Elly. “Muziki
wangu uko pale pale, kitu ninachowaahidi mashabiki wangu, soon, siku
nikiamka tu kuna wimbo unaitwa ‘Utakula Jeuri Yako’ patawaka.”
Nay alisisitiza kuwa hata katiba hairuhusu mtu kumzuia mtu mwingine kitu cha kuongea.
Hivi karibuni Nay alifungiwa kwa ufupi kujihusisha na muziki na kupigwa
faini ya shilingi milioni 1 kutokana na maudhui ya wimbo wake Pale Kati
uliofungiwa.
Alisema kuwa adhabu hiyo ilikuwa na madhara kiasi kwa muziki na biashara yake.
Related Posts:
#BURUDANI>>>>Huyu ni Msanii Mwingine Kutoka Afrika Aliyesaini na Lebo ya Sony Music.Fahamu zaidi hapa.
Ijumaa ya tarehe 21 October 2016, Afrika kusini ikiwa ni tawi la Sony
Music Entertainment, kampuni ya masuala ya Entertainment kwa upande wa
Afrika, ilitangaza kumsaini msanii mwingine ndani ya lebo hiyo, Ycee
ambaye ana… Read More
Amber Lulu Afunguka Kukamatwa na Madawa ya Kulevya, Bifu na Gigy Money na Uhusiano wake na Young Dee.Fahamu zaidi hapa.
Msikilize hapa akihojiwa na mtangazaji wa Kings FM, Prince Ramalove
ambapo amezungumzia kwa mkato tetesi za kukamatwa na madawa ya kulevya,
bifu na Gigy Money, uhusiano wake na Young Dee na fedha anazolipwa
kufanya video… Read More
Mastaa wa Kike Kutoka Familia za Mboga Saba Bongo.Fahamu zaidi hapa.
NAIJUA familia ya mboga saba? Wengine wanapenda kuwaita watoto wa kishua
ama familia bora. Hii ikiwawakilisha watoto wanaozaliwa kwenye familia
yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi, kiasi cha kutumia mlo mmoja ukiwa na
mboga t… Read More
Kisa Cha Mama Mkwe wa Mwendokasi Alivyookoa Ndoa Isivunjike.Fahamu zaidi hapa.
Tafadhali WANAUME wenzangu naomba usome kisa hiki kwa makini sana. Usipuuze.
“Mpaka sasa hivi bado anaendelea kukupiga?” Mama John alimuuliza mkwe
wake.” Ndiyo mama tena amezidi, yaani kila siku nimekuwa kama ngoma,
nime… Read More
#BURUDANI>>>>Muonekano wa Shilole Red Capet ya MTV Awards Wazua Gumzo Mitandaoni.Fahamu zaidi hapa.
Mrembo Shilole aka Shishi Baby amezua gumzo mitandaoni kwa vazi alilovaa
kwenye red kapeti ya MTV Mama Awards zilizofanyika jumamosi
iliyopita...
Baada ya kutupia hiyo picha kwenye page yake hivi ndivyo watu walivy… Read More
0 comments:
Post a Comment