Kipindi cha Nyuma Linah sanga aliingia Bifu zito baada ya Kuibiwa Bwana na Wema Sepetu ambapo alilalamika sana kwenye vyombo vya habari hasa Radioni... Hivi karibuni Linah na Mpenzi wa Wema Sepetu Idriss Sultan wanaonekana kuwa na ukaribu usio wa kawaida kiasa kwamba inasemekati eti ni wapenzi wanapika na kupakuwa kitendo ambacho kinaonyesha ni kama kulipa kisasi kwa Wema....!! Haya Tuache Movie liendeleeee tutawajuza zaidi kinachoendelea....
Saturday, 10 September 2016
Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Mwimbaji Linah Amnyakuwa Idriss Sultan Kutoka Kwa Wema Sepetu...Yadaiwa Amelipiza Kisasi.Fahamu zaidi hapa.
#BURUDANI>>>Mwimbaji Linah Amnyakuwa Idriss Sultan Kutoka Kwa Wema Sepetu...Yadaiwa Amelipiza Kisasi.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
TiGo Yakata Rufaa Kupinga Kuwalipa AY na MwanaFA Shilingi Bilioni 2.18.Fahamu zaidi hapa. Kampuni ya simu ya MIC Tanzania (Tigo) imekata rufaa kupinga hukumu iliyoamuru iwalipe Sh2 bilioni wanamuziki wawili, Ambwene Yesaya na Hamisi Mwinjuma kutokana na kutumia bila ya ridhaa yao, nyimbo za wasanii hao nyota… Read More
Madee Akanusha Kufumaniwa Akiwa na Shilole.Fahamu zaidi hapa. sanii wa muzuki wa bongo fleva Nuh Mziwanda ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Shilole alisema kuwa aliumia alipomfumania Madee na mpenzi wake huyo wa zamani katika sehemu ambayo si ya wazi yaani chumbani. Lakini Mad… Read More
Exclusive>>DJ Maarufu Dar Adai: Nimezaa na Mama Diamond Platnumz.Fahamu zaidi hapa. Kumekuwepo na usiri juu ya baba wa mdogo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Platnumz lakini huenda utata ukafika mwisho baada ya aliyekuwa DJ maarufu jijini Dar kuibuka na kudai kuwa ndiye aliyemzaa mto… Read More
Lady Jaydee Amtaka Gardner Aombe Radhi Ndani ya Siku 7.Fahamu zaidi hapa. Msanii wa muziki Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ kupitia mwanasheria wake Aman G. Tenga kutoka Law Associates (Advocate) ameandika barua ya kumtaka mtangazaji maarufu wa Clouds Fm, Gardner G. Habash, kuomba msamaha mb… Read More
Gigy Money: Niko Kwenye Uhusiano wa Kimapenzi na Gardner Kwa Miezi 6 Sasa.Fahamu zaidi hapa. Muuza sura kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Giggy Money’ amefunguka kuwa mtangazaji maarufu Bongo wa Clouds FM, Gardner G. Habash hachomoki kwake na hadi sasa wako kwenye uhusiano wa mapenzi kwa muda wa miezi si… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment