Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Rubby Atangaza Kujisimamia Mwenyewe Baada ya Kutemana na Clouds FM, Adai Sasa ni yeye na Mashabiki wake.Fahamu zaidi hapa.
Msanii wa Bongo Fleva, mwanadada Ruby ambaye amewahi kutamba na wimbo
wake wa “Na Yule’ amefunguka na kusema kwa sasa amebadili uongozi wake
na kujisimamia yeye kwani anataka kusimama yeye pamoja na mashabiki
zake.
Ruby alisema hayo kwenye kipindi cha eNewz na kudai kuwa yeye aliamua
kubadili uongozi kwa sababu anataka kusimama yeye kama yeye kwenye
muziki kwa kutegemea mashabiki wake, pia Ruby anadai Tanzania ukimchana
mtu ukweli unaonekana wewe ni mkorofi au mgomvi.
“Unajua hata mtoto anapokuwa kwa wazazi inafika wakati anahitaji kuanza
maisha yake mwenyewe, hivyo mtoto akiondoka kwa wazazi haina maana kuwa
hauna wazazi ‘No’ wala haina maana kuwa umeondoka nyumbani kuna matatizo
bali unakuwa umeanza maisha yako mwenyewe, ni sawa na mimi saizi
nimebadili uongozi wangu na niko mimi kama mimi kwani nataka kusimama
pamoja na mashabiki zangu. Watu wanasema sijui mimi ni mkorofi hao ni
wao kwani mtu ukimchana ukweli unaonekana wewe ni mkorofi ni bora
ukamwambia mtu ukweli kwani ukweli utakuweka huru” alisema Ruby
Related Posts:
Exclusiveee..Lady Jaydee, Mnigeria Wamwagana....!!!!.Fahamu zaidi hapa.
KIMENUKA! Miezi michache tu baada ya mkongwe wa Muziki wa Afro Pop
Bongo, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ kumtambulisha ‘baby’ wake mpya, raia
wa Nigeria aliyejitambulisha kwa jina moja tu la Spicy, fununu zinadai
kuwa pen… Read More
Alichokisema Wema Sepetu Baada ya Rais Magufuli Kumtetea Makonda Leo.Fahamu zaidi hapa.
Wema Sepetu Kupitia moja ya Account zake za kijamii ameandika ujumbe
ambao dhahiri shari kuwa unamuelekea Rc Makonda kwa njia ya mafumbo
ameandika hivi
Ukiona twiga anaringa mbugani basi ujue simba bae wake,,,,
Dow… Read More
Uuwii...Umemsikia Jike Shupa..Eti Anadai Haogopi Ukimwi 'so' Haoni Shida Kubadili Wanaume Kama 'Chupi'.Fahamu zaidi hapa.
HAMNAZO! Msanii muuza sura katika video za Bongo Fleva, Zena Abdallah
‘Jike Shupa’ ametoa kali ya mwaka baada ya kudai haogopi Ukimwi kwa kuwa
ni ugonjwa wa kawaida, ndiyo maana amekuwa akibadili wanaume ovyo bila
wasiw… Read More
Harmonize: Sijui kama Diamond aliwahi kuwa na uhusiano na Wolper.Fahamu zaidi hapa.
Harmonize ameendelea kusisitiza msimamo wake kuwa hajawahi
kusikia kama Diamond na mpenzi wake Jacqueline Wolper waliwahi kuwa na
mahusiano.Akiongea kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM,
muimbaji huyo amek… Read More
Afande Sele Amfananisha Bashite na Tumbili Aliyemaliza Kurukia Miti yote na Sasa Ameamua Kumrikia Anayemfuga.Fahamu zaidi hapa.
Msanii mkongwe wa Muziki wa Bongo fleva Mwana Hip Hop Afande Sele
TheKing ametoa ya moyoni baada ya Kuibuka Tetesi za Uvamizi wa Clouds
Media.Kupitia Ukurasa wake wa Facebook Msanii huyo ambaye ndie mfalme wa
kwanza wa M… Read More
0 comments:
Post a Comment