Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Kinywaji Kilichopewa Jina ‘Poteza Ubikira’ Chazua Gumzo China.Fahamu zaidi hapa.
Kinywaji maarufu kwa jina ”blackout in a can’ nchini Marekani kimeingia
nchini China na kuzua gumzo kwa watumiaji wa kinywa hicho.
Four Loko , ni kinywaji kilicho na ladha ya matunda na asilimia 12 ya
pombe kilitumika sana katika sherehe nchini Marekani kabla ya kuondolewa
madukani katika majimbo kadhaa hadi pale viungo vyake viliporekebishwa.
Na sasa kimepata umaarufu mkubwa nchini China , huku raia wakikiita
‘Lose Virginity’ kwa kuwa wanahisi kinywaji hicho kina nguvu zaidi.
Wananchi kadhaa wamepakia kanda za video wakinywa kinywaji hicho cha mililita 695.
Kinywaji hicho kiligonga vichwa vya habari hivi majuzi baada ya wanawake
watatu walio katika umri wa miaka 20 kuficha na kuingiza kinywaji hicho
katika baa moja ya karaoke,kupoteza fahamu baada ya kunywa na kupoteza
vitu vyao vyote kwa wezi.
Four Loko kimeelezewa katika mitandao ya kijamii nchini China kuwa kinywaji kilicho na pombe pamoja na kafeini.
Baadhi ya watu wanadai kwamba mchanganyiko huo unakifanya kinywaji hicho
kuwa na nguvu na kina uwezo wa kumfanya mtu kupoteza fahamu baada ya
kunywa chupa moja tu
Related Posts:
SNURA :CHURA IMENIONGEZEA UMAARUFU.Fahamu zaidi hapa.
STAA wa
Muziki wa Kizazi Kipya, Snura Mushi amefunguka kuwa licha ya changamoto
ya kutakiwa kutengeneza video mpya yenye maadili ya wimbo wake wa Chura,
umaarufu wake umeongezeka kwani jina lake limekuwa gumzo kila kona… Read More
AY na Mwana FA Waingia Kortini Kuishtaki Kampuni iliyotumia Nyimbo zao Bila Ridhaa.Fahamu zaidi hapa.
Kuna uwezekano mkubwa, AY na Mwana FA wamefungua kesi ya masuala ya ukiukwaji wa haki miliki za kazi zao.
Mwanasheria maarufu nchini, Alberto Msando amepost picha Instagram
akiwa kwenye mahakamu kuu ya Tanzania akiwa na … Read More
MKUU WA MKOA PAUL MAKONDA AMTEMBELEA STAA DIAMOND PLATNUMZ OFISINI KWAKE.Fahamu zaidi hapa.
From @diamondplatnumz – Shukran sana sana Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam @PaulMakonda kwa kututembelea katika Office zetu za @Wcb_Wasafi
jana usiku…. ujio wako Umetutia nguvu na Moyo mkubwa katika ufanisi wa
kazi ze… Read More
List 10 ya gari za thamani kubwa wanazomiliki Mastaa wa Rap Duniani.Fahamu zaidi hapa.
Kama ni mpenzi wakuafuatilia maisha ya mastaa wa Rap Duniani na vitu
wanavyomiliki, basi hii isikupite, May 08 2016 nimekuwekea list ya
mastaa wa Rap wanaopush ndinga kali na za thamani kubwa Duniani.
4. Bugatti Veyron (… Read More
#YALIYOJIRI>>>>GADNER SIJUTIA KUMTUSI KOMANDO JIDE,MAMBO MAZITO YAIBUKA.Fahamu zaidi hapa.
SIKU chache baada ya kipande cha video kuonekana katika mitandao
ya kijamii, ikimuonesha mtangazaji maarufu, Gardner G Habash akitoa
maneno ya matusi kwa mkewe wa zamani, Judith Wambura ‘Jide’, ameonekana
kujutia kitendo… Read More
0 comments:
Post a Comment