Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Siwezi Kuyarudia Matapishi Niliyoyatapika - Mr Blue.Fahamu zaidi hapa.
Msanii wa Bongo Fleva Mr. Blue ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo
wake wa 'Mboga Saba' amefunguka na kusema kuwa saizi yeye ni mtu mzima
anaangalia maisha yake na familia yake hivyo hawezi kurudia matapishi
ambayo tayari alishakwisha yatapika.
Mr Blue alisema haya kupitia kipindi cha eNewz ya EATV alipokuwa
akifafanua juu ya taarifa zilizokuwa zimezagaa mtaani kuwa alimpigia
simu aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Naj ndipo hapo aliposema hawezi
kurudia matapishi aliyokwisha yatapika.
"Niliongea na Baraka The Prince alisema kuwa wao hawakufanya hilo jambo,
lakini kama wangekuwa ni wao lazima ningetafuta njia ya kuwashikisha
adabu maana huko ni kuharibiana. Mimi saizi nimeshakuwa mtu mzima siwezi
kurudia matapishi ambayo nilishakwisha yatapika mwanzo' alisema Mr
Blue.
Related Posts:
#BURUDANI>>> Wema: Licha ya Kuniacha, Nitazaa na Idris.Fahamu zaidi hapa.
LICHA ya madai kuwa wapenzi wawili, Idris Sultan na Wema Sepetu
wamemwagana, muigizaji huyo nyota na Miss Tanzania 2006, amesema anataka
kuzaa na mshindi huyo wa Big Brother Hotshots 2014 kutokana na jinsi
anavyojali na … Read More
#BURUDANI>>>ZARI AMKANA HUYU MTOTO MKUBWA KWAMBA SIO WAKE..HUKU MITANDAO IKIMSHUTUMU KUWA NI WAKE.Fahamu zaidi hapa.
Taarifa zimesambaa mtandaoni kuwa mpenzi wa msanii, Diamond Platnumz,
ambaye amezaa naye mtoto mmoja, Tiffa,Zari kuwa ana mtoto mkubwa aitwaye
Zuleha ambaye amekuwa akimficha na kumtambulisha mbele za watu kuwa ni
mdogo … Read More
#TANZIA>>>>Msanii wa Vichekesho Ismail Makombe (Kundambanda), Afariki Dunia.Fahamu zaidi hapa.
Msanii
maarufu wa Vichekesho (Komedi) kutoka kundi la Vituko Show Ndugu.
Ismail Issa Makombe a.k.a KUNDAMBANDA, amefariki dunia usiku wa kuamkia
leo.
Kundambanda
alikuwa mgombea ubunge wa CUF na UKAWA … Read More
#BREAKING NEWS>>>>MWANAMUZIKI KOFFIE OLOMIDE AMPIGA MATEKE MDADA WA KIKE AIRPORT YA KENYA.Fahamu zaidi hapa.
Mwanamuziki Koffie Olomide leo amempiga mateke mnenguaji wake wa kike, mara baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta.
– Wakati tukio hilo likitokea baadhi ya Askari Polisi waliingilia na kuzuia ugomvi zaidi .
… Read More
#BURUDANI>>>>Ali Kiba na Barakah da Prince wavamiwa na Majambazi Afrika kusini.Fahamu zaidi hapa.
Taarifa zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii na Blogs kadhaa Town,
ni kuhusiana na kuvamiwa kwa wasanii wa Bongo Flava Ali Kiba na Barakah
da Prince nchini Afrika Kusini.
Inaelezwa kuwa Majambazi hao walikuwa na silaha… Read More
0 comments:
Post a Comment