Home »
Burudani
» Hamisa Mobetto Hana Tatizo na Uhusiano wa Majay na Lulu, Soma Ujumbe Aliowaandikia.Fahamu zaidi hapa.
Hakuna tena bifu kati ya Lulu na Hamisa Mobetto – angalau kwa kile Hamisa amekiandika kumpongeza mzazi mwenzake.
Hamisa amezaa na CEO huyo wa EFM mwenye uhusiano na Elizabeth Michael
‘Lulu’ na kuna wakati warembo hao walidaiwa kurushiana vijembe.
Majay anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na Hamisa amepost picha ya DJ huyo mkongwe akiwa na Lulu na kuandika:
Happiest birthday To BaBa Squad (Baba caesar, Baba Fantasy& Baba G
..akija in Shaa Allah). Thank You for being baba bora wa mtoto wangu
that am sure any woman could ask for katika hii dunia .
Thank You for taking good care of me & wanetu Katika Siku yako hii i
wanna wish you all the best kwa hii dunia M/Mungu akufungulie milango
yote yenye kheri na Baraka teley.. in shaa Allah ………… Happy birthday
best friend Happy birthday mchizi wangu Happy birthday baba Watoto❣
@majizzo
Related Posts:
GAZETI la Guardian la UK Latoa Nyimbo Kumi Bora za Africa Mwaka 2016, Mtanzania Ashika Nafasi ya 2.Fahamu zaidi hapa.
Gazeti ya the guardian la uingereza litemtoa nyimbo kali za mwaka 2016 zilizotikisa africa.
Katika orodha hiyo tanzania imebahatika kuingia nyimbo 1 tena ikishika nafasi ya 2,
Diamond platnumz kupitia wimbo wake wa salome a… Read More
DARASSA Awekwa Benchi na Madaktari Kutokana na Maumivu ya Kichwa.Fahamu zaidi hapa.
Rapa Darassa baada ya kunusurika kifo katika ajali mbaya ya gari akiwa
na muongozaji wa video nchini Hanscana huko Kahama, Jamatano hii alienda
katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam kwaajili ya kucheki
afya … Read More
DIAMOND na Timu yake Kuchoma Gari Moto Jukwaani Kesho Wasafi Beach Party.Fahamu zaidi hapa.
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez
Akihojiwa na XXL leo Live pale mlimani City amesema wanapanga
kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia
siku ya kesho Kw… Read More
TANGU Nimefunga Ndoa, Sioni Tabu Naona Raha tu – Mwana FA.Fahamu zaidi hapa.
Msanii wa muziki wa hip hop, Mwana FA amesema anayafurahia sana maisha
ya ndoa tofauti na inavyodhaniwa na vijana wengi wenye uoga wa kuingia
katika maisha hayo.
Rapa huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo Dume Suruali, am… Read More
Basata yaonya disko toto, maonesho machafu.Fahamu zaidi hapa.
BARAZA
la Sanaa la Taifa (Basata), linalosimamia sanaa na burudani nchini,
limeonya wamiliki na waendeshaji wa kumbi za burudani, kuepuka kuruhusu
disko toto na kujaza watu kwenye kumbi hizo.
Aidha,
Baraza hilo pia … Read More
0 comments:
Post a Comment