Home »
Burudani
» #YALIYOJIRI>>>>Aunty Ezekiel Afunguka Sababu ya Yeye Kujiachia Enzi Zile.Fahamu zaidi hapa.
Nyota wa filamu nchini Aunty Ezekiel amefunguka kuwa kipindi cha nyuma
kabla ya kuwa na mahusiano na Mose Iyobo na kabla ya kupata mtoto
alikuwa akijiachia sana kwa lengo la kutafuta kiki na wala hakuwa na
woga wa kufa kwani hakuwa anategemewa na mtu.
Aunty Ezekiel alisema hayo kwenye kipindi cha eNewz na kudai kuwa
alikuwa akivaa vibaya na kuwa na skendo mbalimbali kwa lengo la kutafuta
kiki na kufahamika zaidi lakini saizi yeye hafanyi tena mambo hayo
kwani amekuwa akiogopa kifo kwa kuwa anatambua nyuma ana mtoto ambaye
anamtegemea na anategemea malezi yake, ndiyo maana ameamua kuachana na
mambo hayo.
“Kwa sasa nimeacha kiki za ajabu ajabu saizi naangalia maisha ya
familia, saizi nimekuwa mama naangalia vitu kwa upande mwingine kesho na
kesho kutwa mwanangu amekua, amekuta hayo matukio, ohh mama yako alivaa
kichupi, mama yako alikuwa hivi alikuwa vile ataiga nini mtoto kutoka
kwangu? Kwa hiyo saizi naangalia mara mbili ya pale nilipokuwa mwanzo.
Hata zamani nilikuwa ni mtu ambaye nasema aah si tunaishi mara moja tu
hivyo kesho na kesho kutwa nikifa nasema potelea mbali lakini saizi
nakiogopa kifo kutokana na kwamba nina mtu nyuma yangu ananitegemea”
alisema Aunty Ezekiel
Related Posts:
Diamond Aaamua Kumfanyia Baba Yake Jambo Hili Ambalo Hatakuja Kulisahau Maishani Kamwe..!!!..Fahamu zaidi hapa.
DA
ES SALAAM: Baada ya juzikati kupatikana taarifa kuwa mwanamuziki,
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amepatana na baba yake mzazi, Abdul
Juma, inadaiwa kuwa katika sherehe ya kutimiza siku 40 ya mtoto wa
Diamond aitway… Read More
Duh Hii Ndiyo Kik Ya Mwaka: Harmonize Feki Aaamua Kutoka na Wolper Feki Ili Wafanane na Harmonize Halisi,Tazama Pichaz Hapa..!!..Fahamu zaidi hapa.
Harmorapa na Wolper Feki.
Msanii
chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura na msanii kutoka
WCB, Harmonize kiasi cha kubatizwa jina la ‘Pacha wa Harmonize’,
Harmorapa, leo ametinga kwenye Ofisi za Global P… Read More
Huyu Shilole Huyu..!!,Tazama Hapa List ya Wanaume Aliotembea Nao Ujionee Jinsi Shis Baby Alivyomcharuko..!!..Fahamu zaidi hapa.
BAADA ya misukosuko ya kupanda na kushuka kwa
matukio mengi, tayari mchakamchaka wa 2017 umeanza, katika burudani ya
kizazi kipya mwishoni mwa mwaka uliopita msanii Darassa ndiye alikuwa
habari ya mjini.
Miezi 12 … Read More
Zijue Tabia za Wachaga Kutokana na Sehemu Wanazotokea Huko Moshi.Fahamu zaidi hapa.
UTANI WA WACHAGGA.!!
Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-
1. WAROMBO; Hawa wajanja sana kibiashara/wezi pia. wanapenda dili
za magendo. Ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi… Read More
Sikia Hii,Gigy Money Afunguka Jinsi Alivyodate na Ali Kiba na Tetesi za Kumwambukiza Ukimwi,Soma Hapa Livee Kujua A - z .Fahamu zaidi hapa.
DAR ES SALAAM: Video queen matata ambaye pia ni mtangazaji wa kituo cha redio moja jijini hapa, Gift Stanford ‘Gigy Money’,
ametema cheche akisema kuwa, watu wote wanaomsema kwamba kutokana na
kuvaa nusu utupu na kujiach… Read More
0 comments:
Post a Comment