Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>Umati wa Watu Wakesha Wakisubiri Kupatwa Kwa Jua.Fahamu zaidi hapa.
Umati wa watu umepiga kambi eneo la Rujewa, wakisubiri tukio la kupatwa kwa jua kipete linalotokea baadaye leo.
Katika eneo hili ambalo awali halikuonekana kuwavutia wapita njia hata
kufaa kutumika kama sehemu ya kujiburudisha kutokana na shughuli ya
uchimbaji mawe na upasuaji kokoto, usiku huu watu wamejaa huku watu
wakijiburudisha.
Mwandishi wa habari hizi ameshuhudia watu wakiingia na kutoka eneo hilo,
ambalo wataalam wa anga wameweka mitambo yao kwa ajili ya kuratibu
tukio hilo la kihistoria.
Mama lishe, wachoma nyama na wauzaji wa vinywaji vikali wapo kazini kuwahudumia watu waliofika kushuhudia tukio hilo.
“Kwa kweli tukio hili ni kukumbukwa, muda kama huu ninakuwa nyumbani
lakini hawa watu lazima wahudumiwe,” mamalishe Christina Mgaya.
Hata hivyo, uhaba wa nyumba za kulala wageni katika mji mdogo wa Rujewa
umesababisha baadhi ya wageni kukosa sehemu ya kulala na kukesha eneo
hilo.
Related Posts:
Katuni 5 Bora za Leo.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
&n… Read More
Juu ya Jina la Bashite,Wadai ni Lake Kabisa,Wamshangaa Kujiita Paul,Wadai Toka Apate Madaraka Kawasusa Huko Kijijini.Fahamu zaidi hapa.
Mzee Khamesse
Kutokana na kuwepo kwa taarifa za Paul Makonda kulelewa katika familia
ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Mwanza, Seleman Khamesse, JAMHURI limefika
nyumbani kwa Mzee Khamesse, katika eneo la Nyamanoro, jijini M… Read More
Baada ya Kutua Clouds Fm na EFM,Gwajima Leo Kusikika Live Kupitia Radio One na ITV.Fahamu zaidi hapa.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Bishop Josephat Gwajima amesema
kuwa Ijumaa hii atatembelea IPP media kwaajili ya kuwapa pole wana
tasnia ya habari kwa yaliyotokea.
Ijumaa iliyopita kituo cha Clouds kilivamiwa na… Read More
Kimenukaa..Mwigulu Nchemba Aingilia Kati Suala la Nape,Atoa Amri kwa IGP.Fahamu zaidi hapa.
Mh.Nape Moses Nnauye sio jambazi, ni mtanzania, ni mbunge, mjumbe wa NEC
wa CCM, hana record ya uhalifu. Kitendo cha mtu kumtolea Bastola, Sio
cha kiasikari, sio cha kitanzania na sio cha ki Mungu, kama mtu ameweza
kuto… Read More
Ufafanuzi Kutoka Mahakama Ya Tanzania Kuhusu Habari Ya "Utata Wa Jaji Mkuu".Fahamu zaid hapa.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
&n… Read More
0 comments:
Post a Comment