Thursday, 8 September 2016

#YALIYOJIRI>>>>Video: Huyu ndiye mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani, ana miaka 145.

Mzee Ghoto bado anavuta sigara
 
Anasema ameishi muda zaidi kushinda wake zake wanne, ndugu zake 10 na wanawe wote.
“Huwa najaribu kuwa mvumilivu na kuamini kuwa kuna watu watakaonitunza,” ameambia BBC.
“Nimeishi muda mrefu kwa sababu nina watu wanaonipenda na kunitunza.”

0 comments:

Post a Comment