Home »
Burudani
» IDRIS Sultan Atokwa Povu Ukaribu wa Wema, Gabo.
MSANII wa komedi Bongo na mshindi wa
shindano la Big Brother Afrika 2015, Idris Sultan, ‘Dokta Mwaka’
ametokwa povu baada ya kuona picha za Wema Sepetu na Gabo Zigamba staa
wa filamu Tanzania.
Idris alichapisha katika ukurasa wa Instagram akihoji mazingira ya picha ile kutaka kujua eneo lile ni wapi.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#BURUDANI>>>FIESTA IMOOOOO YAFANYA USAJIRI RASMI WA WASANII WATAKAO TUMBUIZA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kampuni ya clouds media leo imesajiri rasmi wasanii mbalimbali wa bongo
flava na hip hop kwa ajiri ya kutumbuiza katika takribani mikoa 15 ya
Tanzania bara tamasha hilo litakapopita.nimekusogezea hapa video ya
jinsi zoez… Read More
Mchungaji Alowa Maneno ya Mama Wema Sepetu.Fahamu zaidi hapa.
Yule mchungaji aliyejitokeza hivi karibuni kumuombea muigizaji wa sinema
za Kibongo, Wema Sepetu, Daudi Mashimo, amedaiwa kuvurumishiwa matusi
na mama wa staa huyo, Mariam Sepetu alipokuwa akimpigia simu kumuombea.
Kwa m… Read More
Vera Sidika amtaja anayemsikiliza kati ya Diamond na Alikiba.Fahamu zaidi hapa.
Mrembo wa Kenya, Vera Sidika amejibu swali la ni nyimbo za msanii yupi anazozisikiliza zaidi kati ya Diamond na Alikiba.
“Mimi namsikiliza Diamond,” anasema Vera. “Style yake tofauti kisha
nzuri, kisha naona kuwa amejikak… Read More
#BURUDANI>>>Ridhiwani Kikwete Awapongeza AliKiba na Diamond ‘Mmeonyesha Umuhimu wa Kuwa Mastaa’.Fahamu zaidi hapa.
Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhawani Kikwete amewapongeza wasanii wa
muziki, Diamond Platnumz na AliKiba kwa kutoa msaada wa tsh 41milioni
kwa ‘GSM Foundation’ ili kusaidia jitihada za taasisi hiyo za upasuaji
wa watoto wen… Read More
#BURUDANI>>>Shilole Afungukia Tatuu Zake za Kichina.Fahamu zaidi hapa.
Na Leonard Msigwa
MWANADADA anayefanya poa kwenye game la muziki Bongo, Zuwena Mohammed
‘Shilole’ amefungukia maana halisi ya tatuu zake mpya alizojichora baada
ya kufuta zile za awali ikiwemo ile ya X- wake, Nuh Mziwanda… Read More
0 comments:
Post a Comment