NI NINI MAANA YA SERIKALI???
Serikali ni chombo kilichowekwa kwa mujibu wa kikatiba na haswa
kwa uchaguzi uliofanyika kwa haki na usawa. Hapa kwenye neon uchaguzi ndio
panapo nikuna mimi kwani hawa tunao wachagua ndio wanaoenda kuunda serikali na
kufanya gurudumu la maisha yetu kwa mtu mmmoja mmoja na jamii nzima kwa ujumla
Sikiliza mkasa huu
Worl bank (benki kuu ya dunia)
Wao wanasema “social protection (SP) is defined through a social
risk management(SRM) conceptual framework”.
·
This frame work explores how
society manages risks, with the main idea being that all individuals,
households and communities are exposed to multiple risks from different
sources. The poor are particularly vulnerable because they are typically more
exposed to risk and acces to fewer risk management instruments.
·
Therefore, SP entails providing
instruments that enable the poor ( as well as the non poor) to minimize the
impact of exposure to risk and change their behavior in a way that helps them
exit poverty and lower their vulnerability.
Hapa
hawa jamaa ambao kuna kipindi flani waliwahi kupishana maelezo na hayati baba
wa taifa mwalimu j.k nyerere kwa story tunazoziskia skia mtaani, lakini wao pia
wamejari suala zima la kuwa ulinzi wa jamii(social protection) kwa kiasi
kikubwa inatakiwa isimamiemaskini kwa kuweza angalau kukuza mifuko ya kijamii
ili iweze kuwahudumia vyema wananchi wake.
Sasa
tunaelekea kuitumia vyema haki yetu ya kimsingi ya kupiga kura katika siku za
karibuni katika uchaguzi mkuu October je viongozi tutakao wachagua watakuwa ni
watu wa kuwalinda maskini kulingana na matatizo yao lukuki kama wanavyoona hawa
watu wa world bank na united nations katika maandishi yao,kwani hawa pia
huwaleta wasimamizi wao wa uchaguzi tafadhali salamu ziwafikie huko mlipo
tunaomba mnavyotuletea hao watu kusimamia uchaguzi wasimamie uchaguzi wa kweli
wenye hakina usawa ili tupateviongozi watakaoweza kuwalinda na kuwatetea
maskini,watu wenye uwezo wa kati na hata matajiri lakini kwa kuzingatia msingi
mkuu ambao ni watu.
Kwani
hata united nations development programme wamewahi kusema
“social
protection involves interventions from public, private, voluntary organizations
and social networks, to support individuals, households and communicate
prevent, manage, and overcome the hazard, risks, and stresses threatening their
present and future well-being.
·
Hazards , events which, if they
materialize, can adversely affect the
consumption and investment plan of households,unemployment,sickness and drought
are typical hazards threatening the well-being of poor
·
Risk, the probality that the
hazards will materialize. For example, research shows that the poor face a
higher risk of sickness”
Sasa jamani
hawa wenzetu wameweka wazi kabisa namna ya kupambana na maadui wa maendeleo ya
uchumi wan chi zetu ni kuinua maskini na kumwezesha maskini kuwa na uwezo wa
kujikwamua kiuchumi kwani utakuwa umemuondolea matatizo ya maradhi,ajira,
nayeye kushiriki moja kwa moja kwenye kukuza uchumi wa nchi.
Inatia
uchungu wasomi kukosa ajira, watanzania kukosa matibabu, malipo ya uzeeni
imekuwa ni shubirichungu kwa wazee mfano
wastaafu wa afrika mashariki jamani inatia uchungu embu tumke,tusiwe na macho
lakini hatuoni.
Tutumie hata
mawazo yao basi tuache kupanga foleni za kuomba omba kwao tu inatia aibu
Fikisha
maoni yako hapa
0 comments:
Post a Comment