Friday, 3 July 2015

#YALIYOJILI>>Waziri MKuu wa Ugiriki awatuliza wananchi.





Katika hotupa fupi kwenye runinga ya taifa, Bw Tsipras amesisitiza kwamba hakuna tishio lolote la Ugiriki kufukuzwa kutoka Muungano wa Ulaya.
Amewaambia wafuasi wake kupuuza kelele za wale aliowataja kama wanaotoa vitisho.
Tayari uchumi wa Ugiriki unakumbwa na msukosuko mkubwa baada ya nchi hiyo kushindwa kupata mkopo wa dharura.
Benki za nchi zimefungwa huku kukiwekwa kiwango rasmi ambacho wateja wanafaa kutoa.
PICHA ZAIDI

 

0 comments:

Post a Comment