Roma Mkatoliki ni msanii maarufu wa hiphop Tanzania ambaye kwenye upande wa pili wa maisha ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa longtime ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) na April 9 2016 ndoa imefungwa nyumbani Tanga na ni baada ya send-off kufanyika Dar es salaam February 2016.
Sunday, 10 April 2016
Home »
Habari Moto
» Mwanamuziki Roma Mkatoliki Kafunga ndoa Jana Kwao Tanga.Fahamu zaidi hapa.
Mwanamuziki Roma Mkatoliki Kafunga ndoa Jana Kwao Tanga.Fahamu zaidi hapa.
RELATED POSTS













0 comments:
Post a Comment