Anashauri kuwa timu 16 kati ya zote zitatolewa
katika hatua ya awali kabisa.
Kisha kubaki 32 zitakazoendelea katika makundi
baada ya hatua ya mtoano kukamilika.
Infantino anasema kuwa mapendekezo hayo
yatapelekwa katika bodi ya Fifa Januari.
''Haya ni mawazo ya kupata suluhisho la uhahika,
tutayajadili mwezi huu na kufahamu nini cha kufanya mwaka 2017,'' alisema
Infantino mwenye miaka 46.
Hii itakuwa nafuu kwa timu kama Tanzania kupata
nafasi ya kushiriki michuano hiyo mikubwa Duniani.
0 comments:
Post a Comment