Tuesday 21 February 2017

GARI LA KIFAHARI LA RONALDO LAZUA MJADALA MITANDAONI.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametupia picha mtandaoni akionyesha gari lake jipya aina ya Bugatti Veyron.

Picha za Ronaldo akiwa na gari hilo la kifahari zimezua gumzo kubwa mitandaoni kwamba ni mtu anayependa majivuno.


Lakini wako ambao wamekuwa wakimuunga mkono kwamba ana haki ya kusherekea maisha ambayo anauafanyia kazi kwa juhudi.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment