Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>KUTANA NA MABUSU MANNE NDANI YA UWANJA YALIYOWAHI KUIBUA HISIA TOFAUTI.Fahamu zaidi hapa.
Kila mtu anafahamu fika kuwa busu si kitu kigeni katika mazingira ya
ulimwengu wa sasa na hata zamani pia. Watu hufanya hivi kuonesha mapenzi
ya dhati kwa wenzi wao ama kufikisha ujumbe fulani.
Katika mchezo wa mpira wa miguu, mara nyingi tunaona wachezaji wakiwabusu ama wake zao au wapenzi wao na vitu kama hivyo.
Lakini kuna matukio yasiyo ya kawaida ambapo tumeshuhudia wachezaji
wakibusiana wenyewe kwa wenyewe . Haya ndio matukio manne ambayo
yalileta hisia zisizo za kawaid akatika ulimwengu wa soka.
4. Busu la Messi dhidi ya Alba
Hii ilitokea wakati Messi alipofunga goli zuri na ndipo Jordi Alba
aliopjikuta anapiga busu zito bila kujua huku Messi kwa upande wake
akilipokea pia bila ajizi. Wakati mwingine mchezo wa mpira wa miguu ni
mzuri sana.
- Busu la Debuchy dhidi ya Giroud
wakiwa timu ya taifa na kufunga goli maridadi. Baada ya goli hilo
wawili hao walijikuta wakipigana busu zito kwa furaha bila ya kujali
kitendo hicho kingezua mjadala machoni mwa watu.
2.Busu la Gerrard dhidi Alonso
Hii ilikuwa wakati wa fainali ya Klabu Bingwa barani Ulaya wakati
Liverpool wakitoka nyuma kwa mabao matatu na kurudisha yote dhidi ya AC
Milan mwaka 2005 jijini Istanbul. Baada ya ushindi wa penati nahodha
Steven Gerrard na kiungo mwenza Xabi Alonso walichagua staili ya aina
yake ya kushangilia kwa kupigana busu na kugonga vichwa vya habari vya
media nyingi ulimwenguni.
- Busu la Gary Neville dhidi ya Paul Scholes
‘Malegend’ hawa wawili wa Man United walijikuta wakipigana busu zito
bila ya kujua kutokana na furaha nzito waliyokuwa nayo baada ya Paul
Scholes kufunga goli murua dhidi ya mahasimu wao wakubwa wa Ligi ya
England Manchester City.
Related Posts:
#MICHEZO>>>>SABABU YA ISHU ZA PASSPORT, WACHEZAJI WATATU WAACHWA SAFARI YA ZIMBABWE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Unaweza
kusema hii ni hali ya kushangaza, wachezaji watatu wa Taifa Stars,
wameachwa nchini kutokana na kutokuwa na hati za kusafiria ‘passport’
kwa ajili ya safari yao kwenda nchini Zimbabwe.
Kikosi
cha Stars kimeo… Read More
#MICHEZO>>>SIMBA, TAIFA STARS WALIVYOKUTANA UWANJA WA NDEGE NA KUUNGANA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Taifa
Stars inakwenda Zimbabwe kwa ajili ya mechi ya kirafiki na imeondoka
leo huku wakiwa wamekutana na Simba ambao walikuwa wanatokea Mbeya.
Vikosi hivyo viwili vilikutana na baada ya hapo, wachezaji wa Simba waliot… Read More
#MICHEZO>>>>YAMETIMIA, JOSE MOURINHO AANDAA DAU LA KUMNG'OA OZIL ARSENAL, MSHAHARA WAKE HUU HAPA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kocha
Jose Mourinho amekubali kumwaga kitita cha euro milioni 15 ili kwa
kiungo Mesut Ozil (28) ili atue Old Trafford na kujiunga na Man United.
Mourinho
ambaye aliwahi kufanya kazi na Ozil wakiwa Real Madrid, yuko t… Read More
#MICHEZO>>>AGYEI AMWAGA WINO AZAM FC.FAHAMU ZAIDI HAPA.
UONGOZI
wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha
kuwaataarifu wapenzi wa soka kuwa jioni ya leo umefanikiwa kuingia
mkataba wa miaka mitatu na kiungo mshambuliaji kutoka Ghana, Enock Atta
Agyei.… Read More
#MICHEZO>>>TIMU AMBAZO ZIMEFANYA MAAJABU UEFA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Baada ya kuona rekodi mbalimbali
zikitengenezwa hali halisi ya mchezo wa soka ni kuweka rekodi ambazo
zitakuwa katika kumbukumbu mbalimbali, Ronaldo na Messi kila
wanachofanya ni rekodi hata kama hajafunga muda mrefu wa… Read More
0 comments:
Post a Comment