Saturday 14 May 2016

#MICHEZO>>>WENGER AMTEGA OZIL KWA PAUN 60000.Fahamu zaidi hapa.

Kiungo mshambuliaji kutoka nchini Ujerumani na klabu ya Arsenal ya England, Mesut Mustafa Ozil, yu mbioni kusaini mkataba mpya ambao utamuwezesha kulipwa mshahara wa Pauni laki mbili (200,000) kwa juma.


Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger ana matumaini makubwa ya kukamilishwa kwa dili hilo, kutokana na fununu zinazoendelea kumuhusu Ozil kuhitajika kwenye klabu nguli za barani Ulaya kama Juventus pamoja na FC Bayern Munich.


0 comments:

Post a Comment