Msanii wa Bongo Flava Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz
amesema anaunga mkono kitendo cha serikali kutangaza kwamba kwa watu
wanaotumia plate number za majina yao watatozwa milioni 10 kama kodi
kutoka 5 kuanzia mwaka wa fedha 2016 & 2017.
Kufuatia hotuba ya serikali kuonyesha hivyo kipindi cha EADRIVE kinachorushwa na EA Radio kimeongea na msanii Diamond Platnumz kuhusu mkakati huo ikiwa yeye ni mmoja wa wanaolengwa na jambo hilo.
Diamond anasema ‘’Kama serikali itatumia fedha hizo kusaidia watu wa hali ya chini mimi naona sawa tuu’’
Diamond anasema ‘’Kama serikali itatumia fedha hizo kusaidia watu wa hali ya chini mimi naona sawa tuu’’
0 comments:
Post a Comment