Home »
Michezo
» Hawa ndio wanamichezo Mtajiri zaidi Duniani, Ronaldo na Messi waongoza.Fahamu zaidi hapa.
Cristiano Ronaldo raia wa Ureno amezidi
kung’ara baada ya jarida la Forbes kutoa orodha ya wanamichezo 100
matajiri duniani na kumweka katika nafasi ya kwanza.
Ronaldo ameongoza kwa kuwa na utajiri wa dola milioni 88 ambazo ni zaidi ya bilioni 190 za kitanzania. Lionel Messi ameshika nafasi ya pili kwa kuwa na utajiri wa dola milioni 81.4 ambazo ni zaidi ya bilioni 178 za kitanzania.
Dola milioni 32 ambazo ni zaidi ya bilioni 70 za kitanzania katika utajiri wa Ronaldo unatokana zaidi na mikataba ya matangazo kupitia account zake za mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram na Facebook.
Wengine ni pamoja na:
3. LeBron James
Total Earnings: $77.2 million
4. Roger Federer
Total Earnings: $67.8 millio
5. Kevin Durant
Total Earnings: $56.2 million
6. Novak Djokovic
Total Earnings: $55.8 million
7. Cam Newton
Total Earnings: $53.1 million
8. Phil Mickelson
Total Earnings: $52.9 million
9. Jordan Spieth
Total Earnings: $52.8 million
10. Kobe Bryant
Total Earnings: $50 million
Related Posts:
#MICHEZO>>>TIKETI ZA YANGA VS SIMBA JUMAMOSI, MFUMO MZIMA WA UNUNUZI NA UNUNUE WAPI, SOMA HAPA.
NAMNA YA UPATIKANAJI WA TIKETI MECHI YA YANGA VS SIMBA KUPITIA TIKETI ZA ELEKTRONIK
… Read More
#MICHEZO>>>KAZI NYINGINE KWA SAMATTA NI LEO EUROPA CUP, NI DHIDI YA WAITALIANO.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mshambuliaji Mbwana Samatta, atakuwa na kazi wakati KRC Genk itakapokuwa inawavaa Waitaliano US Sasuolo.
Mechi hiyo ya Kundi F katika michuano ya Europa itakuwa ni gia nyingine KRC Genk kujiweka vizuri katika mi… Read More
#MICHEZO>>>>Yusufu Manji akabidhi ekari 700 zitakazojengwa Uwanja wa Klabu ya "YANGA" ufukweni mwa bahari ya Hindi, Gezaulole, Kigamboni.Fahamu zaidi hapa.
Jana Yusufu Manji kaikabidhi Yanga SC hekari 715 kujenga uwanja wa
kisasa leo asubuhi hii MO kupitia ukurasa wa Simba SC ametangazwa
kulipia kodi ya nyasi bandia zilizokwama kwa muda mrefu bandarini
kumalizia ujenzi wa k… Read More
#MICHEZO>>>>MO DEWJI AFANYA YAKE SIMBA, AMWAGA MAMILIONI YA MISHAHARA, AAHIDI KULIPIA KODI NYASI BANDIA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Klabu
ya Simba inayo furaha kubwa ya kutangaza kumshukuru mlezi wake bwana
Mohammed Dewji kwa kuanza kutekeleza ahadi zake kwa vitendo.
Dewji
maarufu kama Mo tayari ameshaanza kulipia m… Read More
#MICHEZO>>>>>WALCOTT 'SHOZINIGA' WA ARSENAL, APIGA MBILI, VIJANA WA WENGER WAIBUKA NA USHINDI WA 2-0 VS BASLE LIGI YA MABINGWA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
ARSENAL (4-2-3-1):
Ospina 6.5; Bellerin 8, Mustafi 7, Koscielny 7, Monreal 7; Cazorla 7.5,
G Xhaka 7; Walcott 8.5 Oxlade-Chamberlain 70), 6 Ozil 7.5, Iwobi 7
(Elneny 70, 6); Sanchez 8.
Subs not used: Cech, Gibbs,… Read More
0 comments:
Post a Comment