Friday, 10 June 2016

Picha: Maelfu wajitokeza kumswalia Muhammad Ali.Fahamu zaidi hapa.

Maelfu ya waumini wa dini ya Kiislamu Ijumaa hii katika jimbo la Kentucky, Marekani wamejitokeza kuuswaliwa mwili wa marehemu bondia mashuhuri duniani Mohammed Ali aliyefariki dunia wiki iliyopita akiwa na umri wa miaka 74.

Swala hiyo imerushwa moja kwa moja kupitia runinga na Waislamu wengi duniani wanatumai kwamba itaashiria mchango mzuri kwa dini ya Kiislamu nchini Marekani.
Muhammad Ali alisilimu akiwa kijana. Alikuwa kwanza mwanachama wa madhehebu ya Nation of Islam, Mazishi yake yatafanyika Ijumaa.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment