Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>OLE MEDEYE ATIMKA CHADEMA,AHAMIA UDP LEO.Fahamu zaidi hapa.
Kada wa Chadema na mbunge wa
zamani wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye ametangaza leo rasmi
kuhamia chama cha UDP.Ole Medeye amezungumza hayo mbele ya mkutano wa
waandishi wa habari uliofanyika katika ofisi za Makao Makuu ya chama
hicho,Mwananyamala jijini Dar.
Medeye amezungumza kwa kujipambanua kuwa
yeye anasimamia haki na demokrasia, na
kwamba amekerwa sana na tabia ya vyama vya Upinzani kutomheshimu Naibu
Spika,Dkt. Tulia Ackson Mwansasu,pichani kati ni Mwenyekiti wa chama cha
UDP,Mh.John Cheyo akishuhudia tukio hilo.
0 comments:
Post a Comment