Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>>Ushindi wa KRC Genk ya Samatta Uliyoipeleka round ya 3 Europa League.Fahamu zaidi hapa.
Ni muendelezo wa good news kwa nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania
Taifa Stars anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta
kuwa sehemu ya kikosi cha KRC Genk kilichoisaidia timu kupata matokeo
ugenini dhidi ya wenyeji wao Cork City.
Katika mchezo huo wa pili wa round ya pili KRC Genk wamefanikiwa kuibuka
na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya wenyeji wao Cork City ya Ireland,
mchezo huo ambao umechezwa katika uwanja wa Turners Cross nchini
Ireland, umekuwa ni furaha kwa watanzania kuona Samatta anaelekea
kutimiza lengo lake la kucheza hatua ya Makundi ya michuano ya Europa
League.
Related Posts:
TFF Yasubiria Ripoti ya Kamishna wa Michezo Ili Kumuadhibu Nyoso.
Baada ya beki wa Kagera Sugar, Juma Nyoso kudaiwa kumpiga shabiki wa Simba hapo jana, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limesema linasubiri ripoti ya kamishina wa mchezo huo ili kumchukulia hatua za kinidhamu.Nyoso alishik… Read More
Hali si shwari Soka la Majirani Zetu Kenya.
Hali si hali nchini Kenya, rais wa shirikisho la soka nchini humo Nick
Mwendwa amesema kujiondoka kwa baadhi ya wadhamini waliokuwa wakidhamini
shirikisho hilo pamoja na michezo ya ligi kuu kumelifanya soka la nchi
hiyo … Read More
Takukuru Yamchukua Kaburu Mahakamani Ili Kumuhoji.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemchukua Makamu wa
Rais wa klabu ya Simba, Godfrey Nyange ‘Kaburu’ anayekabiliwa na kesi
ya utakatishaji fedha wa USD 300,000 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu k… Read More
Kibaka Amuingiza Mjini Pluijm Wamuibia Mkoba wa Fedha.
MUDA mchache baada ya kushuhudia timu yake ikipata bao la pekee katika
dakika za nyongeza dhidi ya Tanzania Prisons juzi, Kocha wa Singida
United, Hans van der Pluijm, alijikuta akiingizwa mjini na vibaka kwa
kuibiwa mko… Read More
Mchezaji Juma Nyosa Aingia Matatani Tena Baada ya Kumshushia Kipigo Shabiki Mpaka Kuzirai Leo.
KAITABA: Jeshi la Polisi linamshikilia Beki wa Kati wa Klabu ya Kagera
Sugar, Juma Nyoso kwa tuhuma za kumpiga shabiki hadi kuzirai
Inadaiwa kuwa Mchezaji huyo alikerwa na maneno(matusi) ya Mashabiki ndipo alichukua uamuz… Read More
0 comments:
Post a Comment