Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>MABASI ya Dar Mbeya, Mwanza Sasa Kuchukua Siku Mbili Njiani Badala ya Siku Moja.Fahamu zaidi hapa.
Waliozoea kusafiri kwa mabasi kwa siku moja kutoka Dar es salaam kwenda
Mbeya na kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza na kwingineko kwenye umbali
sawa na huo, sasa inabidi wajipange kisaikolojia kutumia siku mbili
kukamilisha safari hizo. Hayo yamebainishwa na Meneja Usalama Barabarani
na Mazingira wa SUMATRA, Geofrey Silanda. Uamuzi huo umetokana na
utafiti uliofanywa na mamlaka hiyo na kubaini kwamba mabasi yanayofanya
safari kwenye mikoa hiyo hayapaswi kusafiri kwa siku moja.
Toa maoni yako
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Lowassa Afunguka Mazito Kuhusu Wanachama Wanaofukuzwa CCM Wakituhumiwa Kukisaliti Chama Kwa Kumuunga Mkono Yeye.Fahamu zaidi hapa.
Aliyekuwa
mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Edward Lowassa amewapa neno wanachama wa CCM wanaotaka
kufukuzwa ndani ya chama hicho wakituhumiwa kumuunga mkono.
Akiongea
hivi k… Read More
#YALIYOJIRI>>>SERIKALI YAIPANDISHA ZAHANATI YA MSOGA KUWA HOSPITALI YA WILAYA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Naibu
Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi
Kigwangalla (kushoto) akiongozwa na Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya
Msoga, Dk. Juliet Lema wakati wa ukaguzi huo. Kulia ni Mganga Mkuu wa
Mkoa … Read More
#YALIYOJIRI>>>DARAJA LA KIGAMBONI KUFUNGULIWA RASMI APRILI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akipata
maelezo kutoka kwa Meneja Msimamizi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni
Eng. Karim Mattaka alipokagua daraja hilo leo jijini Dar es salaam.
… Read More
#YALIYOJIRI>>>Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), David Mattaka Ashitakiwa Tena Kwa Uhujumu Uchumi.Fahamu zaidi hapa.
Mkurugenzi
Mtendaji wa zamani wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka
na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani wakikabiliwa na mashtaka sita
yakiwamo ya matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kuisababishia… Read More
Mwanamuziki mkongwe Joseph Mbilinyi maafu kwa jina la "SUGU" kuachia ngoma yako mpya.Fahamu zaidi hapa.
Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza namna ambavyo muziki wa hip hop kwa sasa na kuhusu yeye kutoa ngoma.
“Mimi
bado mwanamuziki hata juzi nilikuwa studio narekodi ngoma mpya ambayo
itasikika hivi … Read More
0 comments:
Post a Comment