Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>Idara ya Uhamiaji inawashikilia watumishi wawili wa Serikali ambao si rai wa Tanzania.Fahamu zaidi hapa.
Mkuu
wa Idara ya Uhamiaji Kanda ya Dar es Salaam John Msumule akisisitiza
jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akitoa
taarifa ya kukamatwa kwa watumishi wawili wa Serikali ambao sio raia wa
Tanzania mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Watuhumiwa
ambao sio raia wa Tanzania waliokuwa wakifanya kazi serikalini wakiwa
chini ya ulinzi wa askari wa Uhamiaji, kushoto ni Bw. Bahilanya
Milingita aliyekuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)na kulia ni Dkt.
Esther Green Simon Mwenitumba ambaye alikuwa Mganga Mkuu Kituo cha Afya
Mburahati.
Bw.Bahilanya
Milingita maarufu kwa jina la Roy Bilingita raia wa Congo ambaye
anatuhumiwa kuingia nchini mwaka 1986 na kufanya kazi katika Shirika la
Umeme Tanzania (TANESCO) kinyume na sheria za nchi.
Dkt.
Esther Green Simon Mwenitumba raia wa Malawi ambaye alikuwa Mganga Mkuu
katika kituo cha Afya Mburahati anatuhumiwa kufanya kazi Serikalini
wakati si raia wa Tanzania.
Baadhi
ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Idara ya
Uhamiaji Kanda ya Dar es Salaam John Msumule wakati alipokuwa akitoa
taarifa ya kukamatwa kwa watumishi wawili wa Serikali ambao sio raia wa
Tanzania mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Related Posts:
Dk Slaa: Mvumilieni Magufuli.Fahamu zaidi hapa.
BAADA ya kuishi nchini Canada kwa zaidi miaka miwili sasa,
aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Dk. Willbrod Slaa amesema anakuna kichwa ili kupima mazingira
yaliyomfanya aondoke nchini n… Read More
Waziri Mkuu wa Ethiopia kutua nchini Leo.Fahamu zaidi hapa.
Waziri
Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Dessalegn anatarajiwa kuwasili nchini
kesho, Machi 31 kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili kufuatia mwaliko wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli… Read More
Lissu - Nikikutana na Rais Magufuli Nitamsimanga na Kumpa Vidonge Vyake.Fahamu zaidi hapa.
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu amesema
uongozi wa chama hicho umemwandikia Rais John Magufuli kutaka kukutana
naye Ikulu ya Dar es Salaam kwa ajili ya kujitambulisha rasmi na kufanya
mazungum… Read More
Sakata la Vyeti Feki ..Ikulu Yatupa Mpira kwa Waziri Huyu..Kuhusu Vyeti vya Makonda Amefunguka Haya Mazito.Fahamu zaidi hapa.
WAKATI uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma unakamilika leo, Ikulu
imemtwisha mzigo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene, kuwa ndiye mhusika
mkuu wa suala … Read More
Bajeti ya Kenya ya mwaka 2017/2018 Yasomwa.....Ajira Sekta ya Umma Zasimamishwa.Fahamu zaidi hapa.
Bajeti
ya Kenya ya mwaka 2017/2018, imesomwa jana kinyume na inavyosomwa
kawaida mwezi Juni, kutokana na uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti mwaka
huu, huku ikitangaza kusimamisha ajira katika sekta ya umma.
Katika
b… Read More
0 comments:
Post a Comment