Barua ya Tupac Kuuzwa Shilingi Milioni 378.Fahamu zaidi hapa.
Ni miaka 20 tangu afariki rapper mkongwe, Tupac. Na sasa barua ambayo
aliiandika, mwenyewe inatarajiwa kuuzwa kwa kiasi cha $172,750 ambazo ni
zaidi ya shilingi milioni 378 za kibongo.
Kampuni ya Goldin Auctions, imesema…Read More
Mkenya Aibuka Mshindi wa Maisha Plus.Fahamu zaidi hapa.
Olivie Kiarie wa Kenya ameibuka mshindi wa shindano la Maisha Plus. Fainali za shindano hilo zilifanyika mwishoni mwa wiki.
Ushindi huo umempa Olive kitita cha shilingi milioni 30 za Kitanzania.
Shindano la Maisha Pl…Read More
0 comments:
Post a Comment