Tuesday, 13 September 2016

ANGALIA Video Mpya: Sauti Sol - Kuliko Jana.

Kundi la muziki la Sauti Sol kutoka nchini Kenya limezidi kufanya vizuri katika tasnia ya muziki barani Afrika na nje ya Afrika. Hapa chini ni video ya wimbo wa ‘Kuliko Jana’ iliyotoka Septemba 12, 2016.

<<<<DOWNLOAD APPLICTION KWENYE SIMU YAKO HAPA>>>

0 comments:

Post a Comment