Tuesday, 13 September 2016

#BURUDANI>>>>Wakati Wengine Wakifanya Unyaku Nyaku Diamond Asifia Urembo wa Zari Hassan Kutokana na Ujauzito wake.Fahamu zaidi hapa.

Trending in Bongo leo ni pamoja na picha mpya ya Zari ambayo Diamond Platnumz ameitumia kusifia muonekano wake akiwa na ujauzito.
Iki ni miongoni mwa couple zinazofuatiliwa zaidi Afrika Mashariki Diamond aliweka ujumbe huu kwenye picha Hii… “Pregnant women are always sexy!… Damn! Kama ntokee hapo???????????? @ZaritheBossLady ”

<<<<DOWNLOAD APPLICTION KWENYE SIMU YAKO HAPA>>>

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment