Monday, 12 September 2016

#BURUDANI>>>>Walichofanyiana Shilole na Nuh Mziwanda walipokutana kwenye basi la Fiesta.Fahamu zaidi hapa

Shilole na Nuh Mziwanda walikutana kwenye basi walipokuwa wanaenda Fiesta, wasanii hawa wamekuwa na bifu na walichuniana walipokutanishwa kwenye kipindi cha tv clouds na wamekuwa wakipigana majungu mitandaoni.

Lakini walipokutana kwenye basi Shilole alimuambia Nuh Mziwanda yaishe na kumwambia yupo kwa ajili yake na kumwagia mabusu mazito, pengine watarudiana. Angalia:

 

<<<<DOWNLOAD APPLICTION KWENYE SIMU YAKO HAPA>>>

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment