Wednesday, 7 September 2016
Habari Katika Magazeti ya siku ya Leo Alhamisi ya Septemba 8 yako hapa.
Related Posts:
Gardner Amjibu Lady Jay Dee, Agoma kuomba Radhi.Fahamu zaidi hapa. Hatimaye mtangazaji wa Clouds Fm, Gardner G. Habash amemjibu aliyekuwa mkewe, Lady Jay Dee, aliyemtaka aombe radhi ndani ya siku saba kwa kauli aliyoitoa iliyodaiwa kuwa imelenga kumdhalilisha. Katika majibu yake ameka… Read More
Lulu, Gigy Money Wacharuana.Fahamu zaidi hapa.MASTAA wawili wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Gift Stanford ‘Gigy Money’ wamejikuta wakiingia kwenye mtifuano mkali baada ya kutoleana maneno machafu. Chanzo makini kilieleza kuwa ishu ilianzia kwa Gigy ambaye alis… Read More
Wema Sepetu Afunguka Haya Huhusu Alikiba.Fahamu zaidi hapa. Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa msanii Alikiba ni mtu wa kumuacha kutokana na uwezo wake wa kuimba na namna ambavyo anaweza kuipangilia sauti yake kwenye muziki. Wema Sepetu amezidi kuony… Read More
Busu la Penny Lazua Utata.Fahamu zaidi hapa. Busu ambalo mtangazaji Peniel Mungilwa ‘Penny’ amempiga mwigizaji Shamsa Ford limezua utata kufuatia watu kumhusisha na tabia isiyofaa. ayo yalijiri hivi karibuni baada ya mtangazaji huyo kutupia picha kwenye Mtandao wa … Read More
Pasha Amuumbua Snura, Afunguka Haya.Fahamu zaidi hapa. Akizungumza na Enewz Pasha alisema kuwa yeye alishawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Snura ila kipindi hiko Snura alikuwa hajaanza kufahamika na yeye alikuwa akitamba na nyimbo ya ni soo. “Kusema hajawahi kutoka na … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment