MBONDE, MUZAMIRU NAO WAANZA MAZOEZI NA KIKOSI CHA SIMBA SAUZ.
Salim Mbonde na Muzamiru Yassin ni kati ya wachezaji wa Simba walioanza mazoezi na kikosi hicho.
Samba ipo kambini jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini ikijiandaa na msimu mpya.
Mbonde
pamoja na Muzamiru wameji…Read More
RASMI DIDA ATUA AFRIKA KUSINI NA KUSAINI KATIKA TIMU YAKE MPYA.
Kipa wa zamani wa Yanga, Deogratius Munish ‘Dida’ amesajiliwa na klabu ya Chuo Kikuu cha Pretoria.
Timu hiyo maarufu kama Tuks FC inashiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Afrika Kusini.
Mara
ya mwisho iliteremka dara…Read More
OKWI NDANI, ORLANDO PIRATES YAITWANGA SIMBA KWA BAO 1-0.
Simba imechapwa kwa bao 1-0 katika mechi yake ya kwanza ya kirafiki baada ya maandalizi ya msimu wa 2017-18.
Simba
imelala kwa bao 1-0 dhidi ya wenyeji wake Orlando Pirates katika mechi
iliyochezwa kwenye Uwanja wa Or…Read More
BAADA YA KUONA MAMBO SI SAFI, CHELSEA WAREJEA GYM TENA.
Mabingwa wa England, Chelsea imeendelea na mazoezi na sasa wako gym.
Chelsea imerejea gym kwa ajili ya kuongeza nguvu baada ya kucheza mechi kadhaa za michuano ya ICC.
Download Application y…Read More
0 comments:
Post a Comment