Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>Picha 5: Juma Abdul alivyoamua kuja na mwonekano mpya.Fahamu zaidi hapa.
Beki wa kulia wa Yanga Juma Abdul amekata nywele zake na kuacha
zikiwa ndogo (unga) tofauti na aliyozoeleka kuonekana akiwa anayoa za
pembeni na kuzifuga za katikati ya kichwa.
Kuna wakati mchezaji huyo aliyetwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu
uliopita, aliweka rasta (dread) ikiwa ni moja ya style yake ya nywele.
Lakini kwenye mchezo kati ya Yanga dhidi ya Ndanda FC uliochezwa
mjini Mtwara, Juma alionekana kwa mara ya kwanza akiwa na nywele fupi
kichwa kizima huku akiwa ameachia ndevu kwa mbali kama kawaida yake.
Hizi hapa picha tofauti zikionesha mwonekano mpya wa Juma Abdul.
Related Posts:
KOCHA AZAM FC AITUMIA MICHUANO YA MAPINDUZI KUWA KIPIMO CHA KAZI ZAO.FAHAMU ZAID HAPA.
Kocha
Mkuu wa Azam FC, Zeben Hernandez, ameibuka na kusema kuwa, timu ya
Yanga ambayo wamepangwa nayo kundi moja kwenye michuano ya Kombe la
Mapinduzi, ndiyo itakuwa kipimo chao kikubwa kama wapo fiti.
Katika
michua… Read More
Haya ndio majibu ya mchezaji wa Simba, Ibrahim Hajib baada ya kufanya majiribio Misri.Fahamu zaidi hapa.Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Simba, Ibrahim Hajib
ambaye hivi karibuni alienda Nchini Misri kufanya majaribio katika klabu
ya Haras El Hodoud ya Ligi Kuu ya Misri.
Hajib (kushoto) akiwa na wachezaji wenza… Read More
NDANDA WANAONEKANA WAKO FITI, WAKO TAYARI KWA YANGA KESHO.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kikosi cha Ndanda FC kimeendelea na mazoezi yake ya mwisho leo kabla ya kuivaa Yanga, kesho.
Ndanda FC wanaonekana wako fiti wakisubiri mechi hiyo ya kesho dhidi ya Yanga pale kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam… Read More
KIKOSI CHA YANGA KINACHOSHUKA UWANJANI LEO KUIVAA NDANDA HIKI HAPA.Yanga
ipo uwanjani leo Jumatano, itakipiga dhidi ya Ndanda kwenye Uwanja wa
Uhuru jijini Dar, kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kushuka uwanjani leo
hiki hapa:
1. Deogratius Munishi2. Juma Abdul 3. Mwinyi Haji4. Vicent Bo… Read More
FARID MUSSA MAMBO SAFI, SASA KUPAA KWENDA HISPANIA LEO.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kiungo mwenye kasi, Farid Mussa anatarajiwa kuondoka nchini leo kwenda Hispania.
Mussa anakwenda kujiunga na klabu ya Derpotivo Tennerife ya Hispania.
Awali alikwama kujiunga na timu hiyo kutokana na kuwa na matatizo y… Read More
0 comments:
Post a Comment