Kama ambavyo wewe umeshtuka, nami nilistuka hivyo hivyo kusikia habari
za chini chini kumhusu huyu jamaa wa Bongo Movie aliyetamba sana miaka
mitatu kurudi nyuma..
Nimekuja kuuliza tu kwa kuwa taarifa nilizopenyezewa na mdau anayeishi mitaa ya kinondoni zinadai jamaa gari limekaribia kuwaka.
Sio habari nzuri kama ni kweli, na naomba Mungu ziwe ni 'fununu' tu, ila
ni vyema wenye taarifa zaidi mkatujuza mbivi au mbichi za fununu hizi
ili tusaidiane kummulika jaama ikibidi na yeye 'apate msaada' mapema
kabla haijawa too late..
I loved his works.. was a big fan.. Hapa Hemed, pale Mlela.. Kanumba
alivyokuwa anawatumia kwa utengano mpk ikawa inaleta ladha kushindanisha
yupi mkali zaidi..
By Seth
Related Posts:
MAMENEJA Sallam SK, Babu Tale, Mkubwa Fella, Wamesusa Wasanii wao Wanabanana WCB Kwa Diamond.
Nakumbuka babu tale ndie mwanzilishi na meneja wa tip top connection
kina madee, keisha, tunda, dogo janja etc... naona amekimbia lebo yake
anabanana WCB.
sallam nakumbuka ni meneja wa AY naona kamkimbia anabanana na WCB… Read More
SIO Siri Tena Hamisa Mobeto Aweka Wazi Ujauzito Wake ni wa Diamond Platnumz.Stori ambayo imekuwa ikitrend kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu
Mwanamitindo wa Bongo Hamisa Mobetto kudaiwa kutoka kimapenzi na
Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz huku pia ikielezwa kuwa na
ujauzito wa staa huyo l… Read More
Idris Sultan Apata Shavu la Kucheza Movie Hollywood Marekani.
Baada ya wiki ya mchakato wa usahili, Mshindi wa Big Brother
Africa-Hotshots wa 2014, Idris Sultan ataonekana katika filamu ya
‘Ballin …On the Other Side of the World,’ itayoandaliwa nchini Marekani
chini ya muongozaji H… Read More
Good News: Ali Kiba Atangazwa Kuwa Mmiliki wa Kampuni ya Rockstar4000.
GOOD NEWS: #DirectorKiba ;
Baada ya kufanya kazi na kampuni ya usimamizi wa kazi zake ya
#Rockstar4000 kwa takribani miaka 6, usiku wa jana King Kiba alitangazwa
rasmi kuwa sehemu ya wamiliki wa kampuni ya #Rockstar4000 … Read More
Chid Benz Ageukia Kilimo.
Baada ya kukaa nje ya game la bongo fleva kwa muda, Rapa Chidi Benz
amefunguka na kusema ameamua kujikita kwenye killimo akishirikiana na
mama yake mzazi ili kuweza kujikimu kimaisha.
Leo akiwa kwenye dakika 10 za maanga… Read More
0 comments:
Post a Comment