Tuesday, 21 March 2017

Audio: LHRC Walaan RC Makonda Kuvamia Clouds Media......Wamtaka Rais Magufuli Amwaibishe.Fahamu zaidi hapa.

Kituo cha sheria na haki za binadamu kupitia kwa mkurugenzi wake mkuu, Dk Helen Kijo-Bisimba kimesema wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za RC Makonda kuingia ofisi za Clouds Media akiwa na askari wenye silaha.
 
Bisimba ameitaka  Serikali imchukulie hatua za kinidhamu na kijinai mkuu huyo wa mkoa ili kukomesha tabia hiyo. 
https://my.notjustok.com/track/download/id/196896
==>Msikilize hapo akiongea


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment