Wednesday, 22 March 2017

Clouds Media yakanusha kudaiwa Milioni 700.Fahamu zaidi hapa.

Baada ya kusambaa kwa ujumbe kupitia mitandao ya kijamii unaodai kwamba kampuni ya Clouds Media Group inadaiwa malimbikizo ya kodi na kupoke notisi kutoka mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)  zaidi ya Milioni 700, Leo March  22, 2017 uongozi wa kampuni hiyo umesema kuwa taarifa hizo sio za kweli.
Clouds Media imekanusha kinachosambaa mitandaoni kwa sasa kwamba TRA imeibuka kuidai malimbikizo ya kodi ya MILIONI 700.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment